U HEARD BEEF KATI YA WAPENZI WAWILI WA DANCERS KUTOKA WBC

Burudani

U HEARD Beef kati ya wapenzi wawili wa Dancers kutoka WCB

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazochukua headlines leo November 24 2016 kama wewe utakuwa ni mpenzi wa kuzifuatilia stori zote za Entertaiment basi nisingependa upitwe na hii U Heard kutoka kwenye JICHOPEMBUZI, Soudy Brown ametukutanisha na hii ya wake wawili wa Dancers wawili kutoka WCB kuripotiwa kuingia kwenye beef.

Sroti hizo zinaripOtiwa kuanza katika mitandao ya kijamii ambapo wawili hao ambao ni mke wa Moze Iyobo (Aunty Ezekiel) na mke wa Dummy Utamu (Juju) kurushiana vijembe kwenye account zao za Instagram
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment