Uandishi wa habari kwa smartphone: Video

Uandishi wa habari kwa smartphone: Video

Smartphone zinazidi kutumiwa na waandishi wa habari wa JICHOPEMBUZI  kurikodi habari mpya wakati zinatokea, lakini piya zinaweza kusaidia katika taarifa ambazo zimepangwa kabla.

Kwa kupiga video kwa mapana, na huku wanarekibisha fokasi, mwangaza na usawa wa rangi, waandishi wa habari wanaweza kwa urahisi kutengeneza video inayofaa kutangazwa, anasema mjuzi wa smartphone, Marc Settle.
Chuo cha BBC (BBC Academy) kinatoa mafunzo ya ana kwa ana na mtandaoni kwa wafanyakazi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment