Uefa: Man City yatinga hatua ya mtoano kwa mara ya nne mfululizo
 Image caption
                
                    David Silva akiifungia City goli
Image caption
                
                    David Silva akiifungia City goli
                
            
Mchezaji kiungo 
David silva ameithibitishia klabu ya Manchester City kuingia hatua ya 
mtoano kwa mara nne mfululizo kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya 
Borussia Monchengladbach.
Mchezo huo uliokuwa wa vuta nikutute 
ulishuhudia kila timu ikimaliza na wachezaji 10 kiungo Lars Stindl 
akilimwa kadi nyekundu dakika ya 51 kabla ya Fernandinho wa man city 
kuzawadiwa kadi nyekundu dakika ya 63.Kocha wa timu ya Manchester City Pep Guardiola amesema amefurahishwa na kiwango cha timu yake na kuongeza kuwa kwa matokeo waliyoyayapata moja kwa moja wameepuka kupangiwa na Bayern Munich
Matokeo ya michezo mingine
Besiktas 3-3 BenficaFC Rostov 3-2 Bayern Mun
Arsenal 2-2 Paris St G
PFC Ludogorets Razgrad 0 -0 Basel
Napoli 0 -0 Dynamo Kiev
Borussia Mönchengladbach 1-1 Manchester City F.C.
Celtic 0-2 Barcelona
Atlético Madrid 2-0 PSV Eindhoven
0 maoni:
Post a Comment