Fahamu Njia za Kupunguza au Kuondoa Kitambi Kabisa Bila ya Kunywa Dawa Wala Kufanya Mazoezi..!!!!

Uzito uliopitiliza ni upi?
Huu ni ule uzito ambao haufanani kiafya na urefu wa mtu husika …
Njia rahisi ya kujua kama uko kwenye uzito sahihi ni hii.. mfano kama wewe una urefu wa sentimita 170.
Chukua 170 utoe 100 utapata 70. Kwa hiyo wewe hutakiwi kuzidisha kilo sabini.
Nb: 100 iliyotumika hapo ni costant.
Zifutazo ni njia rahisi za kupunguza uzito
Kunywa maji mengi kabla ya kula mlo wowote.
Acha kula vitu vitamu sana vya kiwandani. Mfano, soda, pipi, biscuit na kadhalika.
Usiingie kitandani kulala ukiwa umeshiba.
Pata usingizi wa kutosha mfano masaa nane na zaidi
Weka chumvi kidogo sana kwenye chakula chako.
Kula breakfast{chakula cha asubuhi} cha kutosha.
Acha kula vyakula vinavyokaangwa na kuandaliwa haraka{fast foods}. Mfano chips, baga, saucage, vitumbua, maandazi, chapati na et.c
Kula mboga za majani za kutosha i.e mchicha, Chinese, carrots, etc
Kula matunda kwa wingi mfano apples, zabibu,
Kula vyakula vyenye kamba{fibres} kwa wingi. Mfano kabechi, maembe, machungwa, machenza na etc
jipangie ujazo maalumu mdogo wa chakula na ule ujazo huo kila siku, sio unakula huku unaongeza chakula ovyo.
Punguza ulaji wa chakula aina ya wanga mfano ugali, mihogo, viazi vitamu,mikate na e.t.c
Jipangie baadhi ya wiki unazimaliza bila kula nyama kabisa. mfano week moja kwa mwezi.
Kula chakula aina ya protini kila mlo. Mfano maharage, karanga, soya, korosho, na kadhalika 
Acha kushinda njaa kisha kula chakula jioni. Kula ata mara nne kwa siku ila kwa kiasi kidogo.
Acha kunywa pombe kali eti inakausha mafuta, hicho kitu hakipo na ni uongo mkubwa.
Punguza unywaji wa bia i.e kiafya mwanaume anatakiwa asinywe zaidi ya unit 4 za pombe kwa siku na mwanamke anatakiwa asinywe zaidi ya unit 3 kwa siku.
Unit inapimwaje?
Mfano bia moja ina alcohol ya 8% ndani ya chupa lenye ujazo wa 500mils yaani nusu lita. Kwa hiyo ukinywa nusu ya bia{250mils} umefikisha unit nne tayari inabidi usinywe mpaka kesho tena kwa wewe mwanaume. Hivyo bia hiyo hiyo mwanamke hatakiwi kunywa hata nusu yake.
Kula chakula taratibu bila kua na haraka na hii husaidia mtu kula chakula kidogo na kuridhika. Mfano kula kwa dakika ishirini kila mlo.
Kwanini?
Mishipa ya fahamu ya tumboni inachukua dakika ishirini kugundua kama tumbo limeshiba hivyo na kutoa taarifa kwenye ubongo ili mtu aache kula. hivyo ukila ndani ya dakika tano ukamaliza, utahisi bado una njaa kwa sababu mishipa hiyo haijagundua kama umeshiba hivyo utaongeza chakula kingine.kwa maelezo zaidi soma hapa

from Blogger http://ift.tt/2lZRMLA
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment