MARTIN Kadinda afunguka Kinachomponza Wema Sepetu

MWANAMITINDO Martin Kadinda, amefunguka kuwa kinachomponza Wema hadi ajikute anaingia kwenye misala mbalimbali ya kipolisi ni watu wanaomzunguka.
Kadinda ambaye pia ni meneja wa msanii huyo, alisema ili Wema aweze kufanikiwa maishani, hana budi kuwaweka pembeni baadhi ya marafi ki ambao wana tabia chafu kwani mara nyingi wamekuwa wakimsababishia matatizo mbele ya jamii.
“Siwezi kuwataja majini lakini Wema mwenyewe naamini anawajua marafi ki zake ambao si wazuri, wanaomwingiza kwenye majanga mara kwa mara, ni vyema akaachana nao ili ‘kumaintain’ heshima ya jina lake,” alisema Kadinda
ANGALIA VIDEO CHIDEO

from Blogger http://ift.tt/2lV6BPb
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment