Simu iliyokuwa
ikitumiwa na Adolf Hitler wakati wa vita vikuu vya pili vya Dunia
itapigwa mnada nchini Marekani mwisho mwa juma hili.
Simu hiyo
nyekundu iliyo na chapa cha jina la kiongozi huyo wa Wanazi, ilipatikana
katika ngome ya Hitler jijini Berlin mwaka 1945.- Mauzo ya kitabu cha Hitler yapanda Ujerumani
- Nyumba ya Adolf Hitler kuvunjwa Austria
- Kanisa lamkosoa Duterte kwa mauaji
- Duterte: Nimeisikia sauti ya Mungu
- Duterte asema Obama anaweza 'kwenda jehanamu'
Kampuni hiyo ya mnada iliyoko Maryland, ilisema kuwa shughuli za mnada zitaanza kwa bei ya Dola 100,000.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment