Wema Afunguka Sababu ya Kukimbilia CHADEMA

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kali kwa vituo vinne vya utangazaji kwa kukiuka maadili ya utangazaji kwa mujibu wa sheria na kuvitaka viombe radhi siku tatu mfululizo kuanzia leo (Ijumaa) kupitia taarifa ya habari.
Akitoa adhabu hizo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Valerie Msoka amesema vitio hivyo vimepewa onyo kali ikiwa ni pamoja na kutozwa faini na kuomba radhi wasikilizaji wake.
Amevitaja vituo hivyo kuwa ni Star TV,Channel ten, Clouds FM na Times FM.

from Blogger http://ift.tt/2lD5XmQ
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment