Image caption
Maeneo ambayo makombora yalirushwa
Image caption
Makombora ya kihistoria kutoka kusini na kaskazini mwa korea
Jeshi la Korea kusini limesema Korea kaskazini
imerusha makombora yake kadhaa katika bahari ya Japan, Jeshi la Korea
kusini limesema kuwa makombora hayo yamerushwa kutoka kwenye eneo la
Tongchang-ri lililo kwenye mpaka kati ya Korea kaskazini na China na
kurushwa kwa umbali takriban kilomita elfu moja.
Image caption
Maeneo ambayo makombora yalirushwa
Akiongea na waandishi wa habari, waziri mkuu wa
Japan Shinzo Abe amesema makombora hayo yanadhihirisha ushaidi tosha wa
vitisho vipya kutoka kwa Korea kaskazini
''Korea kaskazini imefyatua makombora yake manne leo na kuangukia karibu na eneo letu la maji lenye manufaa kwetu kiuchumi.
Japan itakusanya taarifa na kuzichambua kuhusu tukio hili.Japan
inaipinga vikali Korea kaskazini.makombora yaliyorushwa wakati huu
inaonyesha wazi kuwa Korea kaskazini ni tishio jipya.Korea kaskazini
ilishatangaza aina hii mpya ya makombora kabla ya kuyarusha leo hivyo,
tutafuatilia kwa karibu suala hili kwa kwa umakini mkubwa''
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment