Elton John kuahirisha show baada ya kuugua ghafla .






Sir Elton John amevunja show yake aliyotakiwa kuifanya ukumbi wa Caesars Palace mjini Las Vegas.

Muimbaji huyo wa Uingereza amefikia hatua hiyo baada ya kuugua ghafla na kulazimika kuwekwa chini ya uangalizi wa madaktari katika hospitali nchini Uingereza lakini aliruhusiwa siku ya Jumsamosi hii ya April 22 baada ya hali yake kuonekana kuendelea vizuri.
Katika taarifa aliyoito muimbaji huyo amewatoa hofu mashabiki wake kwa kusema, “Thankfully, Elton’s medical team identified this quickly and treated it successfully. He is expected to make a full and complete recovery.”
“I am so fortunate to have the most incredible and loyal fans and apologize for disappointing them. I am extremely grateful to the medical team for their excellence in looking after me so well,” ameongeza.
Inadaiwa kuwa show ya kwanza ya Elton ataifanya Juni 3 mwaka huu katika ukumbi wa Twickenham, Uingereza.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment