Shirika la afya la Umoja wa mataifa WHO linauwekea
matumaini makubwa uwezekano wa kuwatibu
wagonjwa wa Ebola kwa damu ya wale waliopona
maradhi hayo.Watu wanajiwekea matumaini
makubwa upande huo-shirika la WHO linasema.Tiba
hiyo inatuwama katika matumaini kwamba katika
damu ya manusura kuna viini maalum vinavyoweza
kuwasaidia wagonjwa.Madaktari wawili wa
kimarekani walioambukizwa virusi vya Ebola nchini
Liberia walitibiwa kwa damu ya wagonjwa
waliopona.Wote wawili ni wazima hivi sasa.Shirika la
afya la Umoja wa mataifa WHO halikubainisha lakini
kama hali hiyo imesababishwa na matibabu hayo ya
aina yake au huduma bora za afya nchini Marekani.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment