MRIPUKO WA BOMU WAUWA WATU 18 BERUT.

Mripuko mkubwa wa bomu la kutegwa katika gari mjini beirut nchini Lebanoni umeuwa watu 18 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika eneo lililo na watu wengi ambalo ni ngome la kundi la wanamgambo wa Hezbolla


Kundi ambalo halikuwa linajulikana hapo hawali la Syria linalo aminika kuwa na mafungamano na waasi wanao taka kumng'oa madalakani Rais wa syria Bashar Al Abed na Rweiss kusini mwa mji mkuu.

moja vya magari yalio lipuliwa na bomu la kutegwa
Shambulio hilolilisababisha uhalibifu mkubwa wa majengo na kusababisha moto ulio teketeza magari kadhaa huku moshi mkubwa ukionekana ukifuka kutoka eneo hilo.

Gharama ya kujiusisha na mzozo wa syria.


Mripuko huo una kuja siku moja tu baada ya kiongozi wa kundi hilo la Hezbollah Hassan Nasrallah kusema kundi lake lina chukua hatua za kuakikisha usalama katika eneo hilo la kusini baada ya shambulio jingine la bomu mwezi ulio pita katika eneo la Bir Al Abed kusababisha vifo vya watu kadhaa


kiongozi wa hezbollah Hassan Nasrallah.
Aliyeshuhudia mripuko huo wa jana alisema aliona gari moja likizunguka eneo hilo kupata sehemu ya kuegesha  na kuliripua  mpiga picha wa AFP alishuhudia  miili iliyo chomeka vibaya na magari kadhaa yakiteketea.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment