KAKA AAMBIA MILAN KUTOMLIPA MSHAARA

jichopembuzi@gmail.com
KAKA aambia milan kutomlipa mshaara,Nikwa sababu ya kutokana na jeraha la paja ambalo litamlazimu kutocheza.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa timu ya Brazil aliondolewa uwanjani na jeraha hilo katika dakika ya 70 ya mechi walio kwenda sare ya mabao 2 na timu ya Rossoneri.

Alirejea Milan bila malipo yoyote mapema mwezi huu baada ya kuhamia Madrid mwaka 2009 kwa kima cha pouni milioni 56.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment