Gazati moja maarufu nchini Marekani,New York Times limetaka bangi kualalishwa nchini humo
Katika taarifa yake ya kitengo cha uhariri gazeti hilo limehusisha marufuku ya dawa hiyo na ile ya matumizi ya pombe kati ya miaka 20 na 30 likidai kuwa hatua hiyo imeleta madhara makubwa kwa jamii
Linasema kuwa Bangi aina madhara makubwa hatari ikilinganishwa na pombe na tumbaku na kwamba kukamatwa kwa wanaomiliki dawa hiyo kunawaathili pakubwa vijana weusi
Majimbo ya Colorado na washington tayari yameruhusu uuzaji wa Bangi kwa lengo la kujibuludisha.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment