DULLY SYKES ANAKUALIKA KUSIKILIZA SINGLE YAKE MPYA INAYO ITWA "TOGOLA"

Mara yake ya mwisho kusikika na single mpya kwenye Radio ilikuwa juni 2013 na ilikuwa ni "kabinti special " ambayo video yake ilionekana ndani ya muda mfupi sana kwenye vyombo mbalimbali vya radio na Tv toka iachiwe na iyo ni kutokana na video hiyo kutajwa kwamba ajazingatia maadili ya kitanzania kuonyeshwa adharani.

Sasa leo Dully anayo furaha kutualika kusikiliza single yake mpya inayo itwa "Togolo"
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment