WABUNGE WA NIGERIA WAPIGANA BUNGENI.

WABUNGE wa bunge la wawakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya jumanne baada ya kuzuka bungeni sitofahamu kuhusu mrengo wa bunge uliojitenga na chama tawala.Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.

Kituo kimoja cha kibinafsi cha televisheni pamoja na vituo vingine vilivyo onyesha picha za mbunge mwanamke akimtosa kidole usoni kwa ghadhabu mbunge mwenzake wakati mbunge mwanamume akionekana akichukua kiti nusura kumgonga mwenzake.

Wabunge wengine walionekana kupigana ngumi.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment