Idara ya Afya nchini Liberia imetangaza kuwa Dactari mmoja wa Ebora amefariki dunia kutokana na viini vya ugonjwa huo.
Ni Dactari wa kwanza nchini humo kufariki kutokana na ugonjwa huo alipokuwa akiwatibu wagonjwa wa Ebora katika mji mkuu wa Monrovia.
Alihudumu kama Dactari wa watu wengi maarufu akiwemo Rais wa zamani Charles Taylor
Shirika la Afya duniani WHO linasema kuwa takribani watu 660 wamethibitishwa ama wanashukiwa kufariki na ugonjwa huo Magharibi mwa Afrika tangu mwezi Febraly na kufanya kuwa ugonjwa m'baya zaidi tangu uzuke.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment