Kikosi cha polisi nchini Canada kimeanza kutoa zawadi kwa vijana wanaofanya mambo mazuri kwa jamii wanayoishi. Maafisa katika mji wa Prince Albert watatoa tiketi za maadili kwa vijana watakao onekana wakivuka barabara kwa njia salama au kuondoa taka barabarani.
Miongoni mwa zawadi watakazopewa vijana hao ni pamoja na mikate ya Humburger, tiketi za filamu au fursa ya kutizama mechi za mpira wa magongo bila malipo.
0 maoni:
Post a Comment