SHAHIDI AFIA KIZIMBANI AKITOA USHAIDI
Katika hali isiyo ya kawaida mkazi wa kijiji cha Lorwe kata ya Nyahongo Shirati,wilayani Rorya Mkoani Mara,Charesi Warito 38 ambaye ni shahidi wa mlalamikaji katika kesi ya kudhuru mwili kwa kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa mkono na kusababisha ulemavu amefariki Dunia,wakati akitoa ushaidi.
0 maoni:
Post a Comment