BARAZA la mitihani Tanzania NECTA limetoa ufafanuzi kuhusu matokeo ya kidato cha nne yaliyo tolewa wiki iliyo pita, likisema ufaulu wa daraja la kwanza hadi lka tatu unapangwa kwa kuzingatia alama ufaulu,ufafanuzi huo unatokana na utata uliojitokeza kwa wadau wa elimu ambao awakuelewa vizuri kuhusu viwango vya kufaulu
Alama ya chini ya ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini dar es salaam kaimu katibu mkuu wa NECTA,DK.charles Msonde,alisema kuwa ufaulu katika daraja la nne umezingatia ufaulu wa chini aliopata mtahiniwa ambao ni gredi D katika masomo yaliyo pungua mawili.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment