SERIKALI YASEMA YAANZA MCHAKATO MPYA WA MAOMBI YA KAZI KWA KUTUMIA UTAALAMU WA ERECTRONICS.

MFUMO mpya wa kutuma maombi ya  kazi serikalini mchakato wake umeanza mara baada ya wizara hiyo kuelemewa kwa sasa.
Naibu  katibu mkuu Abu Mkwinzu ameyasema ayo jijini dar es salaam mara baada ya kuona kuna matatizo katika kuajili watu serikalini.
Ataivyo kiongozi wa sekretaliti ya ajira bwana Bakali Mahiza amesisitiza hilo kwa kuwa idara yake imeelemewa kwa kiasi kikubwa kwa maana mfumo wa lionao sasa ni digito na si kama zamani walivyo kuwa katika mfumo wa analogia.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment