Ikiwadirisha la usajili limefunguliwa tangu wiki iliyo pita kwa timu mbalimbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi timu ya young Africans imeweza kuweka majina ya awali ya baadhi ya wachezaji ambao awataitumikia katika msimu ujao wa 2014/2015
Young Africans ambayo msimu uliopita ilikuwa na kikosi bora kabisa ambacho kiliweza kuwatoa jasho mabingwa wa kihistoria Barani Afrika timu ya National Al Ahly katika mashindano ya klabu bingwa Afrika,ambapo mabingwa hao wa kutoka nchini Misriwaliweza kusonga mbele kwa mikwaju ya penati,Msimu uliopita Young Africans ilikuwa na kikosi cha wachezaji 30 kutoka timu ya wakubwa na wachezaji (5) kutoka timu ya vijana (U20) waliokuwa vwamepandishwa mara baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu 2013/2014 baadhi ya wachezaji hawataitumikia tena Yanga Sc kwenye msimu ujao,wachezaji 11 wamemaliza muda wao na kumalizana na uongozi hivyo wako huru kujiunga na vilabu mbalimbali nchini na nje ya nchi.
wachezaji hao ni
1.david luhende
2.Athuman idd "chuji"
3.
Geroge Banda-(U20 )
4.Yusuph Abdul -(U20)
5.Rehani kibingu -(U20)
6.Hamisi Thabiti
7.Reliants lusajo
8.Bakari Masudi -(U20)
9.Shabani Kondo
10.Abdalllah mguhi "Messi" -(U20)
11.Ibrahim job
young Africans inaendelea kunya usajili kwa kuziba nafasi zilizo achwa wazi na wachezaji hao walio temwa rasmi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment