jichopembuzi: MBEYA CITY NA PRISON HAPATOSHI LEO SOKOINE:TIMU ya tanzania Prison na mbeya city zote za jiji la mbeya zina tarajia kupimana nguvu katika mtanange utaopigwa hivi punde siku ya leo katika kiwanja cha sokoine mjini hapa
Aidha katika mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya majalibia ya mfumo mpya wa kielotroniki wa mashabiki wa kiingia langoni kwa kulipa tiketi kwa mitambo maalumu iliyo fungwa katika uwanja huo na baadhi ya viwanja vitavyo tumika katika msimu wa ligi kuu tanzania bara
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment