
Wapalestina zaidi ya 900 sasa wameuawa tangumapigana ya sasa kati ya Israel na Hamas kuanza waisrael kalibu 40 wamekufa wengi wao wanajeshi.
Mabenki na baadhi ya maduka yamefunguliwa ,Msemaji wa msaada wa umoja wa mataifa Christopher Gunnes alisema saa 12 azisaidi kila mtuBila shaka tutatumia muda huu lakini autoshi,Ndio sababu tunasema kuwa mapigano yasitishwe kabisa kwa sababu ya wanyonge wa "Gaza"
0 maoni:
Post a Comment