RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
ameutaka uongo shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuanzisha mchato ambao
utamfikia na kuondoa kodi za nyumba kisha kusabaisha nyumba hizo kuuzwa kwa bei
ndogo.
Akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma
wakati wa uzinduzi wa nyumba za shirika hilo zilizo jengwa katika wilaya hiyo
kwa ajili ya wafanyakazi wa halmashauri, waalimu na wafanyakazi wa kada
mbalimbali Halmashauri hiyo.
Amesema uongozi wa shirika la Nyumba uanzishe muchakato wa
jinsigani nyumba zizo zitaondolewa kodi wakati wa ujenzi wake na kuuzwa kwa bei
raisi itakayo muwezesha kila mwananchi kumikiki nyumba ya kisasa.
Kwa upande wake mbunge wa wa jimbo ya Kongwa ambaye pia ni
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai alisema kuwa Shirika la Nyumba
limesogeza maendeleo kwa wananchi wa maeneo hayo na kuwasaidia vijana kupatiwa
ujuzi mbali mali juu ya ujenzi wa nyumba za bei rahisi.
Nae mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nyumba Nehemia Mchechu
amesema kuwa mradi huo utekerezaji wa mpango wa ujenzi nyuma za bei rahisi na
zime garamu jumla ya shilingi bilioni 1.28 za kitanzania ambapo zilianza
kujemgwa mwaka 2012 na kukamilika mwaka huu.
0 maoni:
Post a Comment