NEY WA MITEGO NA MADEE WALIKUWA PAKA NA PANYA, SOMA KILICHOTOKEA MPAKA SASA NI MARAFIKI WAKUBWA

Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. 

Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese. Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni marafiki wa karibu sana Hata Lift Wanapeana bana.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment