1.0
Tume ya Utumishi wa Mahakamani chombo kilichoundwa kwa
mujibu wa kifungu Na. 112 (1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4 ya mwaka 2011, Tume
ya Utumishi wa Mahakama pamoja na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la
kuajiri watumishi wa Mahakama wa kada mbalimbali. 1.1
Hivyo,Wananchi wafuatao walioomba nafasi za ajira katika
Tume ya Utumishi wa Mahakama wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika katika
kumbi zilizoko kwenye uwanja mpya wa Taifa (National Stadium) unaotazamana na
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke kupitia lango kuu. 1.2
Usaili utafanyika siku ya
Ijumaa
tarehe
29.8.2014
kuanzia
saa1.30 Asubuhi.
KUNDI ‘A’
KUNDI ‘B’
SN
AFISA TAWALA II
SN
AFISA UTUMISHI II
1 Ahimidiwe Rodrick Munuo 22 Grace IsayaKapama 2 Andrew
Timothy Mosha 23 Grace Nelson Mliga 3 CastoryDanfanNgogo 24
HashimShaibuMgandilwa 4 Clement ValleryKessy 25 Hilary Daniel Ngowi 5 Fatuma
Mohamed Msuya 26 Innocent Nicholas Nyagano 6 George Sabianus Mathew 27 Jamal
MajutoMbuguyu 7 HamisiRajabuMbaya 28 JaphetBoniphaceNyambele 8 HanifuMussaMdidi
29 John Christopher Nyaonge 9 JacklineYoramMwankupili 30 Juni Leonard Mdede 10
Jestina Emmanuel Kayuki 31 Leonard Martin Sarao 11 Lucy MorandTirukaizile 32
Luciana Charles Kapama 12 MushobusiJosiaNsangila 33 Mariam George Kisusi
13 Mussa Hamza Iddi 34 Masanja Jiday Magese 14 Namnyaki
Lazaro Mollel 35 Michael Barnabas Bazil 15 OdiliaDitrickMapunda 36 Mpoki Jaily
Mwakipake 16 Rashid Mohamed Luambano 37 Mwajuma Hussein Suru 17 Wambi Ibrahim
Mwasene 38 Neema Lawi Kahwili 18 Stephano Elias Goroi 39 Nyangaliga Stephen
Makumbati
KUNDI
‘A’
40 Omary Mbaraka Mnenga
AFISA UTUMISHI II
41 Pendo Aroni Mishomari 1
Ahmada Mohamed Nimwobaruga 42 Peter Peter Madukwa 2 Amina Juma Mlanda 43
Petro Elouterius Kivike 3 Ashura Miraji Mdee 44 Renatha Alex Tibiita 4 Beatrice
Silidoin Dominic 45 Reston Alon Mtafya 5 Beatrice Valerian Njau 46 Salmon Peter
Isaiah 6 Catherine John Haule 47 Sarah Robinson Mdegela 7 Cecilia MorrsObwana
48 Sekela Dickson Mwakibete 9 Charles Ernest Kapondo 49 Sharifa Mbaraka Ahmad
10 Condrad Martin Mbonde 50 Simon Simon Kasapira 11 Devota Gaspar Kitaly 51
Sophia Omary
Kwaang’w
12 Devota Alphonce
Mazengo 52 Suzana John Mfikwa 13 Ebenezery Humphrey Kombe 53 Ummy Abdallah
Rwambo 14 Eliakimu Bilenge Rutanda 54 Vaileth Renfrid Mtanga 15 Emmanuel Joseph
Urio 55 Violla Faustine Chuwa 16 Erick Augustino Nyamweru 56 Wales John Mhilu
17 Eva James Leshange 57 Shali Ibrahim 18 Fadhilina Hassan Mdee 58 Winnie
Michael Shirima 19 Florence Adine Semwenda 59 Zebedayo Zabron Moshi 20 Fredrick
Fanuel Mbonde 60 Ntuli Athanas 21 Ginaweda Nashon Eliakim
Wasailiwa Wote Wazingatie Yafuatayo:
1.
Kuja na Vyeti Halisi (Original Certificates) za kuanzia
kidato cha nne, Sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea
kutegemeana na kazi aliyoomba,
2.
”Testimonials’ “
Provisional Resu
lts’’, “Statement of Results” pamoja
na hati nyingine za
matokeo kwa ngazi zote HAVITAKUBALIWA, 3.
Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original
Birth Certificate), 4.
Kila msailiwa aje na picha 2 Passport size, 5.
Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi,
6.
Waombaji ambao majina yao hayakuorodheshwa hapa juu wafahamu
kwamba hawakuchaguliwa. Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama, S.L.P 9183,
DAR ES SALAAM.
0 maoni:
Post a Comment