TANZANIA ,BURUNDI ZAKUBARIANA JUU YA MPAKA.

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwenzake wa Burundi,Pierre Nkurunziza wamekagua na kuizaminisha mpaka baina ya nchi zao,kufuhatia uhakiki uliofanywa kwa mujibu wa sheria za kimataifa .


katika shughuli hiyo ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumatatu katika wilaya ya ngala magharibi mwa Tanzania ,Marais hao walisema kuidhinisha mpaka sio kuwatenganisha wananchi wa nchi hizo,bali kueshimu utaratibu wa kisheria.

Mkutano huo wakwanza kufanyika eneo la mpakani ulifanyika katika kijiji cha mugikomero wilayani Ngala ambapo viongozi wengine wa nchi za Burundi na Tanzania pamoja na wananchi walio udhuria 

Akiutubia hafla hiyo Rais Kikwete pamoja na kupongeza kuwepo kwa amani nchini Burundi alisifu pia mausiano mazuri yayopo baina ya tanzania na burundi.

Awali waziri wa Ardhi wa maendeleo ya makazi wa Tanzania Bi.Anna Tibaijuka alisema kuwa tayari kazi kama hiyo imefanyika kwa maeneo ya mipaka iliyoko Baharini.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment