WAZIRI wa mambo ya kigene ya Urusi Sergei Lavrov amesema Urusi inapania kupeleka msaada zaidi Ukraine kwani hali ya kibinadamu inazidi kuzorota.
Ukraine haikuluhusu msafara wa msaada wa kwanza na kupelekea utata mpakani maafisa wa kiev walipo wanyima kibali cha kuingia Ukraine bila kukaguliwa
huku kiev ilikuwa ikielezea wasiwasi wake kuwa Moscow ilikuwa ikiwapa silaha.
Viongozi wa Ukraine wamesema msafara wa magari yaliyokuwa na silaha yalivuka mpaka wake kuelekea Urusi jumatatu na kupelekea mapigano.Ukraine ilisema magari karibu 30 yalikuwa yameingia kutoka Urusi karibu na mariupol mnamo jumatatu ikiwa na alama ya waasi wa jimbo linalotaka kujitenga na kidemokrasia ya Donestk.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment