Halmashauri ya wilaya ya Iringa imetumia zaidi ya Shilingi bilioni 7.2 kwenye uboreshaji na ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya mwezi januari hadi june 2014
mkuu wa wilaya ya Iringa Dkt leticia Walioba amesema kwenyew kikao cha tathimini katika kipindi hicho miradi ya Afya na elimu imetumika zaidi ya shilingi milioni 200 ambayo ni kwa ajili ya ujenzi ya miundombinu ya barabara za maeneo ya wenda hadi mgama yenye urefu wa kilomita 19.7
Dkt. walioba ameongezea kuwa kwa upande wa sekta ya Afya halmashasuri ya wilaya ya Iringa imefanikiwa kusambaza dawa na vifaa mbalimbali vya tiba kwenye vituo 66 vya afya na Hospitali za Serikali hili viondokane na huhaba huo
Hata hivyo,Amesema kwa upande wa Elimu wilaya ya Iringa pia imetoa zaidi ya vitabu 254 ambavyo ni vya kiada na ziada kwenye shule za msingi 145 hili kuongeza ufaulu wa wanafunzi kwa shule hizo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment