ASKARI WA UN SYRIA WASHAMBULIWA .

Serikali ya Phillippines inasema kuwa Askari wake kama 70 katika kikosi cha kuweka amani cha umoja wa mataifa nchini Syria,wameshambuliwa na wapiganaji.

Waziri wa ulinzi wa Phillippines,Voltaire Gazmin,alisema wapiganaji walishambulia kambi moja ya umoja wa mataifa na Askari wa Phillippines wameondoshwa katika kambi nyingine.

msemaji wa jeshi amesema askari hao wako salama.

Siku ya Alkhamisi wapiganaji wa syria waliwateka askari wa usalama 44 kutoka fiji katika kambi yao kwenye mlima wa Golan,na walizingira kambi mbili zinazotumiwa na askari kutoka phillippines ambao wakataa kusalimisha silaha zao kwa wapiganaji 

Umoja wa mataifa umelaini atua iliochukuliwa na wapiganaji 

Umoja wa mataifa unasimamia makubaliano ya mwaka 1974 ya kuacha mapigano baina ya syria na Israel

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment