Mbunge wa Temeke MTOLEA afanya ziara ya kuwashukuru wananchi wake kwa kumchagua aahidi makubwa
MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE MH.ABDALA MTOLEA AMEITAKA SERIKALI KUSAIDIA KUONDOA KERO MBALIMBALI ZA KIJAMII ZINAZO WAKUMBA WANANCHI WA JIMBO ILO, AMESEMA HAYO HII LEO JIJIN DAR ES SALAAM ,ALIPOFANYA ZIARA KTK KATA YA AZIMIO KWA AJILI YAKUWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA NA KUSIKILIZA KERO ZAO IVYO ALIFANIKIWA KUTEMBEA MITAA YOTE YA AZIMIO IKIWEMO,TAMBUKA RELI,MTONI-UNGUJA,MJI MPYA,UKU KERO KUBWA KWA WANANCHI IKIWA,UKOSEFU WA MAJI AMBAPO UWAFANYA WANANCHI KUTEMBEA UMBALI MREFU KUTAFUTA MAJI,PIA KATA KUWA NA KITUO CHA AFYA (KIMOJA) NA KUTOKUWA VIFAA VYA KUTOSHA KAMA VITANDA IVYO KUFANYA WAGONJWA KULALA CHIN,
AIDHA MTOLEA AMEWATOA HOFU WANANCHI, NA KUSEMA ATAAKIKISHA ANAPIGANIA BUNGENI MATATIZO HAYO YAPATE SULUHU KWA WAKATI HUSIKA,VILEVILE AKASEMA KWAMBA LITAKUWA JAMBO LA FEDHEA KWAKE KAMA HATAFANYA WALICHO MTUMA WANCHI.
“NAELEWA KERO MBALIMBALI MLIZO NITUMA NANITAZIFANYIA KAZ KWA WAKATI KWAN UKIZINGATIA SERIKALI YETU SASA SIKIVU” amesema MTOLEA.
,PIA AMEWATAKA WATU WOTE WALIONUNUA MAENEO YA WAZI NAKUJENGA AMEWATAKA WAREJESHE KWA WANANCHI MARA MOJA KWAN WASIPO FANYA IVYO DAWA YAO IPO JIKON
AKIZUNGUMZA DIWAN WAKATA YA AZIMIO MH.MATOGORO AMESEMA ANASIKITISHWA NA KITENDO CHA WAUGUZI WA ZAHANATI YA TAMBUKARELI KUFANYA KAZI MWISHO SA NANE HUKU IDADI YA WAGONJWA IKIWA KUBWA IVYO AMEWATAKA WAUGUZI HAO KUONGEZA MUDA WAKUFANYA KAZI IWE ANGALAU MPAKA SAA KUMI NA MBILI JION, VILE VILE AMEWATAKA KUACHA KUFANYA KAZ KWA MAZOEA KWANI SASA NI KAZ TU
AIDHA WANANCHI WAMEMSHUKURU MBUNGE WAO KWA UPENDO ALIOUONYESHA, KUWATEMBELEA NAKUJUA KERO ZAO ZINAZO WAKABILI UKU WAKISEMA AWAJAWAI ATA SIKU MOJA KUTEMBELEWA NA MBUNGE WAO ALIYEPITA IVYO WALIISHIA KUMSIKIA TU KWENYE VYOMBO VYA HABARI,IVYO WAMEMTAKA MBUNGE AWASILISHE MATATIZO YAO SEHEMU HUSIKA ILI YAPATIWE UFUMBUZI
from Blogger http://ift.tt/1mAWPOR
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment