BREAKING NEWS; MELI YA ROYAL IDANAIWA KUSHIKA MOTO

MELI YA ROYAL ILIKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA INAUNGUA MOTO.

 MELI YA ROYAL ILIKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA INAUNGUA MOTO.
KWA BAHATI SERENGETIILIKUWA INATOKEA PEMBA KWENDA UNGUJA NIMEIKUTA NJIANI HIVYO SHUGHULI ZA UZIMAJI MOTO NA UOKOZI WA ABIRIA NA MALI ZAO INAFANYIKA

TUOMBE DUA WAFANIKIWE YOTE MAWILI …
WENYE WAFANYAKAZI MELINI WAFWATILIE ZAIDI

source -call from baharia ndani ya serengeti

from Blogger http://ift.tt/1m6GEIy
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment