MBEYA CITY YAINGIA MKATABA NA COCACOLA.

Klabu ya Mbeya city council football club imeingia katika makubaliano na kampuni ya Cocacola kwanza kwa udhamini wa vinywaji baridi (official soft Drink sponsorship)utakaodumu kwa muda wa miaka 2 wenye thamani ya sh.150,000,000.00 mkataba huo umeganyika katika maeneo makubwa mawili ambayo ni vinywaji (maji aina ya Dasani wakati wa mazoezi na mashindano pamoja na vinywaji vingine kulingana na maitaji ya klabu vitakavyo kuwa na thamani ya shilingi 15m)pamoja na pesa taslimu shilingi 60m

Tunaishukuru kampuni hiyo ya Cocacola kwa kuonyesha imani kwetu na kuhamua kufanya nasi kazi kwa kipindi hiki cha matazamio kampuni ya Cocacola ni kubwa kimataifa na aijawai kudhamini klabu katika ukandawetu huu waAfrika zaidi ya kudhamini mashindano kadhaa,hivyo tunajiona wenye bahati kuwa moja ya klabu chache kufanya kazi na kampuni hii kubwa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment