Kampuni za magari ya china zimetengeneza jumla ya magari 5,191 ya umeme katika mwezi wa Agosti mwaka huu,ikiwa ni mara kumi na moja kuliko mwezi Agosti mwaka jana mafanikio haya yana tokana na sera nyingi mpya za uungaji mkono zilizo tolewa na serikali ya china.
Katika miezi 8 iliyopita,idadi ya magari yanayo tumia nishati safi ambayo yalitengenezwa nchini China imeongezeka zaidi yua mara 4 na kufikia 31,137.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment