Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2014, wakiangalia fuvu la Kiboko lililohifadhiwa katika makumbusho ya
Ngurudoto yaliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha. Warembo 30
wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa
ndani katika hifadhi. (Na Mpiga Picha Wetu)
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiangalia ndege
wa aina mbalimbali lililohifadhiwa katika makumbusho ya Ngurudoto yaliyopo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Washiriki
wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi,
Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni
wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege unavyofanyika kutumia
mashine maalum iitwayo 'Walk Through Thermoscaner', iliyopo uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
wakati warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania walipotembelea
uwanja huo na kujifunza mambo mbalimbali . Warembo hao wapo katika ziara
ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vya
utalii nchini.
Washiriki
wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi,
Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni
wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege unavyofanyika kutumia
mashine maalum iitwayo 'Walk Through Thermoscaner', iliyopo uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati warembo 30 wanaowania
taji la Miss Tanzania walipotembelea uwanja huo na kujifunza mambo
mbalimbali . Warembo hao wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa
ndani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Mkuu wa Idara ya Utalii katika hifadhi
ya Taifa ya Arusha, Neema Mollel (kushoto) aliyekuwa akitoa maelezo juu
ya ziwa Kubwa la Monella lilillopo katika hifadhi hiyo jana
walipoitembelea. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika
ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiingia katika
kituo cha forodha cha Tanzania kilichopo katika mpaka wa Tanzania na
Kenya eneo la Namanga, Wilayani Longido mkioani Arusha walipoitembelea
eneo hilo. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara
ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakila nyama choma
katika mnada katika mji wa Longido wakiwa njiani kwenda Namanga. Warembo
30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha
utalii wa ndani katika hifadhi.

wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakisoma maelezo
mbalimbali ya hifadhi ya Taifa ya Arusha walipoitembelea. Warembo 30
wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii
wa ndani katika hifadhi.
0 maoni:
Post a Comment