Swahilivilla yalonga na Hussein Ali Salum Aka China kuhusu historia ya maisha yake

Hussein Ali Salum a.k.a CHINA azungumza kwa ufupi kuhusu Historia ya Maisha yake. Pia aliongea kuhusu mchezo aliokuwa akiupenda wa mpira wa vinyoya yaani Badminton na kutaja baadhi ya wachezaji waliokuwa bora katika timu ya Taifa ya Zanzibar Badminton kwa mchezo huo enzi zake, na pia aliongea kuhusu alivyosafiri na kuwa Baharia na kutembea nchi tofauti mwaka 1987. Na pia kutoa ujumbe kuhusu waTanzania kwa ujumla wanaoishi maisha ya Ughaibuni kuangalia wazee wao na kuwekeza nyumbani kwa ujumla.

Jiunge nasi kwa kusikiliza https://soundcloud.com/mswahili-flani/swahilivilla-alonga-na-hussein-aka-china-kuhusu-historia-ya-maisha
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment