mapigano
Uturuki imekuwa katika harakati za kuwasaidia wapiganaji wa Kikurdi wanaopigana na kundi la wapiganaji wa Kiislam la IS ambao wanawania kuuchukua mji wa Kobane.
Hata hivyo makundi ya uchunguzi kutoka Syria mapema yalikaririwa yakidai kuwa wapiganaji wa IS wanashikilia robo tatu ya mji wa Kobane
Saa chache zilizopita wingu la moshi mkubwa lilitanda angani katika kilele cha mlima wa mji wa Mistanour kutokana na mapigano yanayoendelea.
Waziri wa masuala ya
kigeni wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema hawategemei kuongoza
mashambulizi ya ardhini katika operesheni dhidi kundi la wapiganaji wa
Kiislam IS.
Cavusoglu amesema kuwa nchi yake inampango kuzuia ndege kutumia anga lake
lililopo katika eneo la mpaka wake na na Syria ikiwa ni matokeo ya
mazungumzo waliyoyafanya na mkuu wa majeshi ya NATO Jens Stoltenberg.Uturuki imekuwa katika harakati za kuwasaidia wapiganaji wa Kikurdi wanaopigana na kundi la wapiganaji wa Kiislam la IS ambao wanawania kuuchukua mji wa Kobane.
Hata hivyo makundi ya uchunguzi kutoka Syria mapema yalikaririwa yakidai kuwa wapiganaji wa IS wanashikilia robo tatu ya mji wa Kobane
Saa chache zilizopita wingu la moshi mkubwa lilitanda angani katika kilele cha mlima wa mji wa Mistanour kutokana na mapigano yanayoendelea.
0 maoni:
Post a Comment