JESHI NCHINI BURKINA FASO LATAKIWA KURUDISHA UTAWALA KWA RAIA.

Shirikisho la kiraia la CCVC nchini Burkina Faso limetoa wito kwa Jeshi la nchi hiyo kurudisha utawala kwa raia.

Taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo jana imeitaka jamii,mijini na vijijini kuungana kwa pamoja na kukataa 'mapinduzi ya kijeshi"na kusema shirikisho hilo lina laani vikali mapinduzi ya kijeshi yanayo lenga kufuta vita ya uhuru na Demokrasia.

Shirikisho hilo linasema mashirika ya kiraia na vyama vya upinzani vina uwezo wa kujipanga na kusimamia mpito wa kisiasa ambao utaandaa uchaguzi wa wazi na haki pia na kuwa na idara za serikali zenye nguvu.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment