Marekani kubadili sera dhidi ya Iran?

Marekani imepinga madai ya taifa hilo kwamba imebadili sera zake dhidi ya Iran kutokana na ripoti za magazeti na kuwa Rais Obama amekuwa na mawasiliano ya siri na viongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.
Ayatollah Ali Khamenei
Jarida la The Wall Street Journal lilitoa taarifa kwamba mwezi uliopita kuwa Rais Obama alituma barua kwa Khamenei iliyobeba malengo ya pamoja katika kupigana na kundi la wapiganaji wa kiislam la IS.
Rais Obama
Msemaji wa Ikulu ya Marekani White House Josh Earnest amepuuzakukanusha ama kukubali madai ya ripoti hiyo dhidi ya Marekani kwamba sasa mlengo wake kwa Iran unalegezwa na muungano wa kuungana pamoja kuwapiga kundi la IS.
Iran na mataifa mengine yenye nguvu Duniani ikiwemo Marekani yamekuwa yakijadiliana dhidi ya mpango wa Iran na Nyuklia.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment