Uchaguzi wa Morocco wahairishwa


 
Uchaguzi wa bunge uliokuwa umepangwa Novemba 2 katika visiwa vya Comoro umeahirishwa hadi Januari mwakani na kuibua gumzo mitaani kuhusu hali ya kisiasa katika visiwa hivyo. Uchaguzi huo ulikuwa ufanyike sambamba na uchaguzi wa serikali za mitaani na kisha kufuatiwa na uchaguzi wa urais mnamo mwaka 2016. Je hali ya kisiasa ikoje, na nini mustakbali wa demokrasia visiwani humo?
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment