MKURUGENZI WA TWITTER KUJIUZURU

JICHOPEMBUZI: Twitter imeshindwa kupata faida katika kipindi cha miaka tisa tangu ilipoanzishwa. Mwanzilisho mwenza wa mtandao huo Jack Dorsey atachukua mahala pake kama kaimu afisa mkuu kuanzia Julai mosi na kukalia wadhfa huo hadi pale mrithi wake atakapochaguliwa. Bwana Costolo amekuwa akishinikizwa kujiuzulu na wawekezaji ambao hawafurahikii ukuwaji wa kampuni hiyo. Katika taarifa yake bwana Costolo amesema kuwa anafurahishwa na wafanyikazi wa kampuni hiyo. Mnamo mwezi Aprili kampuni hiyo ilipata hasara ya dola milioni 162. Bei ya hisa zake ilishuka kwa asilimia 30 na sasa zinaendelea kuuzwa kwa bei ya uanzilishi wake mwaka 2013. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako Facebook Twitter WhatsApp Rejea mwanzo wa ukurasa Habari zilizosomwa zaidi 1 Aliye pandikizwa uume,baba mtarajiwa 2 Je,Australia huwahonga wahamiaji? 3 Akosa taji la urembo kwa picha za uchi 4 Gari linalohisi mashimo barabarani 5 Nigeria na mikakati dhidi ya Boko Haramu

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment