WATALII KOTINI KWA KUPIGA PICHA ZA UCHI MLIMANI

Watalii wanne ambao wamekiri kosa la kuonyesha matendo ya aibu hadharani, wamefikishwa katika mahakama moja nchini Malaysia. Wanne hao ambao ni mawakala wa kupanga safari za kitalii walivua nguo na kubaki uchi kabla ya kujipiga picha juu ya kilele cha mlima wa Kinabalu. Kwa mjibu wa watu wa Malaysia, mlima huo ni mtakatifu. Sasa wanasubiri kuhukumiwa. Baadhi ya raia wa Malaysia wamesema kuwa mitetemeko ya ardhi ya mara kwa mara nchini humo, inatokana na kusumbuliwa kwa mapepo yaliyoko huko.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment