MAKADA WA CHADEMA WATWANGANA MAKONDE WILAYANI MBOZI

Taarifa zinazovuja kutoka wilayani Mbozi, zinaeleza kuwa, kumekuwa na mapigano baina ya wafuasi wa CHADEMA, waliokuwa wamekutana katika kumbi wa Mkonongo, baada ya wafuasi hao kutofautiana kuhusu mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya chama chao. Taarifa zinaeleza kuwa, wanachama wawili wa CHADEMA wilayani himo, wanaotajwa kwa majina ya Msyete na Mkisi, wameonyesha nia ya kutaka kuwania ubunge, huku kila mmoja akiwa na kambi yake, na kwamba kutofautiana kwa kambi hizo ndio kulipelekea vurugu za leo, ambazo zimeishia kwa baadhi yao kujeruhiwa na kupelekwa hospitali ya wilaya ya Mbozi kwa matibabu. credit: Msangi My Take: Watanzania inabidi tufike wakati tuangalie chama cha kuongoza nchi kwa amani.CHADEMA ni genge la wahuni wasaka madaraka.Imagine wanapigana wao kwa kwao,je wakikutana na mtu wa chama pinzani si ndio watau kabisa. Madaraka ndio matamu lakini sio haya wanayotaka hawa jamaa.Leo wamepigana wao kwa wao,kwingine wamemkwida askari mlinda amani za wananchi na mali zao...Chukua hatua kesho inaweza kuwa wewe ama ndugu yako. Reply hopaje 17:36 Today Uzushi huu kikao cha chadema kinaendelea bila vurugu zozote Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums Reply ukwega 17:39 Today Chachu Ombara Tutakuja kuongozwa na wewe Reply Bukama Batoko 17:41 Today Chachu Ombara Mmmmmmmm! Haya, hawa ndiyo wasakatonge. Jamani, tumefika huko? Genge la wahuni wasaka madaraka hao. Tafakari, chukua hatua. Reply rallphryder 17:42 Today Ndio nguvu ya umma hiyo. Pole mpigwaji. Reply mchambuzixx 17:43 Today umeripoti kishabiki mnoo .....kiasi cha kwamba habari yako inaweza kutiliwa shaka kuwa ni ya uongo ... Reply stanlthecreator 17:44 Today Waache wauane tu wasaka tonge tu hawa na saccos yao Reply Kaisari 17:45 Today Kwa uandishi huu ndiyo maana hamuaminiki. Reply Chachu Ombara 17:45 Today By Bukama Batoko: Chachu Ombara Mmmmmmmm! Haya, hawa ndiyo wasakatonge. Jamani, tumefika huko? Genge la wahuni wasaka madaraka hao. Tafakari, chukua hatua. Tulishaambiwa kuwa nchi haitatawalika.Nimeanza nilidhani walijisahau lakini naanza kuamini kauli ile. Reply rallphryder 17:45 Today Chachu Ombara Huko Geita wamempiga askari kwa madai eti amewarekodi kwa siri, leo wanatwangana wenyewe! Hili ni genge linalojiandaa kwa mauaji:- "Tutazichapa bungeni"-LISSU. Reply Chachu Ombara 17:46 Today By hopaje: Uzushi huu kikao cha chadema kinaendelea bila vurugu zozote Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums Thibitisha mkuu, weka picha za mkutano.Siku nyingine uwe unakuja na uthibitisho. Reply eliasmushi 17:46 Today By Bukama Batoko: Chachu Ombara Mmmmmmmm! Haya, hawa ndiyo wasakatonge. Jamani, tumefika huko? Genge la wahuni wasaka madaraka hao. Tafakari, chukua hatua. Attached: 1433861176939.jpg (38.6 KB)  Reply laki si pesa 17:47 Today Chadema ni wasaka tonge Reply Chachu Ombara 17:48 Today By rallphryder: Huko Geita wamempiga askari kwa madai eti amewarekodi kwa siri, leo wanatwangana wenyewe! Hili ni genge linalojiandaa kwa mauaji:- "Tutazichapa bungeni"-LISSU. Kwi kwi kwi!! Ngoja nimuite Lizaboni na FaizaFoxy wajionee masumbwi ya bure CHADEMA Mbozi kisa uwakilishi. Reply laki si pesa 17:48 Today Bado Dr.Slaa na Mbowe watatwangana sana kugombea nafasi ya Urais... Reply rallphryder 17:50 Today By Chachu Ombara: Kwi kwi kwi!! Ngoja nimuite Lizaboni na FaizaFoxy wajionee masumbwi ya bure CHADEMA Mbozi kisa uwakilishi. chadema,weka mbali na watoto, and shake well before use! Reply Chachu Ombara 17:50 Today By laki si pesa: Bado Dr.Slaa na Mbowe watatwangana sana kugombea nafasi ya Urais... Hapana,itakuwa Mbowe/Slaa dhidi ya Lipumba,Makaidi,Mbatia. Reply Kibo10 17:51 Today Yani hii picha ya bodaboda wa kimara walipigana ndio umehamishia hapa kwa mbwembwe na propaganda za kizamani Kweli ccm mmekosa kazi mmeanza kutunga mashairi dah Moderator tazameni hili swala ni la kupika Reply rallphryder 17:51 Today By laki si pesa: Bado Dr.Slaa na Mbowe watatwangana sana kugombea nafasi ya Urais... wala haichukui muda hiyo. Reply Ritz 17:53 Today By hopaje: Uzushi huu kikao cha chadema kinaendelea bila vurugu zozote Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums Mkuu hauoni picha hiyo kamanda kapigwa kisu anavuja damu. Reply Page 1 of 2 1 2 Last Up Copyright JamiiForums.com

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment