MBIO ZA URAIS 2015 NA UBOVU WA BARABARA KUU TANZANIA /ZAMBIA UMEKISILI

JICHOPEMBUZI limeweza kufika katika kijiji cha Mahenje huko wilayani Mbozi mkoa wa Mbeya na kugundua barabara hiyo aina hazi kimataifa kwa sababu ya kupita magari mazito yenye kubeba shehena na kufanya ubovu wa barabara hiyo unaoweza kuatarisha maisha ya watu.

hata hivyo katika eneo hilo kuna kipande hicho cha rami kikiwa kimepondeka na kutengeneza mabonde yaliyo kama mawimbi hivyo uwezakusababisha ajali katika eneo hilo

Baadhi ya wanakijiji katika eneo hilo akiwemo bwana Josephati Mpembela amezungumza na JICHOPEMBUZI kuhusu suala hilo njinsi linavyo wakera na kusema kuwa mwanzo mwa mlima huo kuna jiwe kubwa ambalo uwezi kulitoa kwakuwa ni chanzo cha mabomba yaliyo tengenezwa chini kwa chini hili kuweza kunusulu barabara hiyo na kuruhusu maji kupita katika mabomba hayo na kuyatupa bondeni

baada ya kufutilia huongozi wa kijiji juhudi zetu zote ziligonga mwamba kwa kuto wapata viongozi hao

hata hivyo baada ya kufanyiwa marekebisho kwa kipindi cha huongozi wa awamu ya tatu wa kutolizisha na kupelekea kwa mabomba yaliyo chini kupasuka na kusababisha hasara kwa barabara hiyo , hizi ni baadhi ya picha tulizo zitoa sehemu ya tukio

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment