WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/09/2015.
[Mikoa ya Kigoma,
Mwanza, Geita, Kagera na Mara]: |
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua. |
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua. |
|
[Mikoa ya Katavi, Mbeya,
Iringa, Njombe na Rukwa]: [Mikoa ya Shinyanga,
Tabora, Dodoma na Singida]: [Mikoa ya Morogoro, Mtwara,
Lindi na Ruvuma]: |
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua. |
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto |
Kiwango
cha chini cha joto |
Mawio
(Saa) |
Machweo
(Saa) |
ARUSHA
|
24°C
|
15°C
|
12:33
|
12:35
|
D’SALAAM
|
30°C
|
20°C
|
12:24
|
12:22
|
DODOMA
|
29°C
|
16°C
|
12:38
|
12:36
|
KIGOMA
|
31°C
|
21°C
|
01:02
|
01:00
|
MBEYA
|
27°C
|
10°C
|
12:49
|
12:43
|
IRINGA
|
26°C
|
13°C
|
12:39
|
12:35
|
MWANZA
|
29°C
|
19°C
|
12:47
|
12:49
|
TABORA
|
31°C
|
18°C
|
12:50
|
12:48
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:25
|
12:23
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
22°C
|
12:24
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi makubwa.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
03/09/2015: Mabadiliko kidogo.
03/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 01/09/2015.
huu umetolewa leo tarehe: 01/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
from Blogger http://ift.tt/1UpJBOH
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment