UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA JANA

WIZARA YA UCHUKUZI
                           MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA JANA.
TAREHE 14/09/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Pwani,
Dar es Salaama  na Tanga]
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi  katika Maeneo machache na
vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza na Geita]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi,
Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma,
Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi,
Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM40 KWA SAA NA MAWIMBI
MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
28°C
16°C
12:30
12:31
D’SALAAM
32°C
23°C
12:19
12:20
DODOMA
30°C
15°C
12:43
12:34
KIGOMA            
34°C
19°C
12:57
12:58
MBEYA
25°C
12°C
12:44
12:42
IRINGA
27°C
15°C
12:34
12:33
MWANZA
30°C
17°C
12:43
12:46
TABORA
34°C
17°C
12:45
12:46
TANGA
32°C
23°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:19
12:20
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km
40 kwa saa kwa Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
16/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 14/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1EZNXe4
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment