WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.


Mheshimiwa Balozi Wilson Masilingi kwenye picha ya pamoja na watanzania washiriki mafunzo ya uimarishaji na
usimamizi wa miradi ya ushirikiano kwa njia ya Public Private Partneship hasa sekta ya nishati na madini walipofika kutembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC .

Baadhi ya Washiriki wa semina kutoka wizara mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Mhe Balozi Wilson Masilingi alipokua akiwakaribisha na kutoa yake machache.

Pichani ni waandaaji wa semina hiyo waliokua wameongozana na wenyeji wao kuja kutembelea Ubalozi wa Tanzania Washington DC .

PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

from Blogger http://ift.tt/1J4oviq
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment