Mkutano wa Kampeni Jimbo la Mpendae Zanzibar.

 Mwanachama wa CCM Jimbo la Mpendae akiwa amevaa vulana yenye ujumbe huooo………
Vijana wa Jimbo la Mpendae wakishangilia wakati wa mkutano wao wa Kampeni wa Jimbo hilo uliofanyika katika viwanja vya mpira bustani ya migombani.

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe Issa Kassim Issa akiwahutubia Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa mkutano wa kampeni wa Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani uliofanyika katika viwanja vya bustani ya migombani Unguja na kuwaombea kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo.

 Mwenyekiti wa Wilaya ya Amani CCM Ndg Abdi Ali Mzee akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mpendae wakati wa mkutan o wa kampeni wa Jimbo hilo na kuwataka kukipigia kura ya Ndio Chama cha Mapinduzi na Wagombea wake wote.

from Blogger http://ift.tt/1OA7q8e
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment