Uingereza imeingia kwenye headilines baada ya mcheza tenis bora duniani Andy Murraykutwaa ubingwa wa michuano ya mchezo huo maarufu kama Davis Cup.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936 baada ya Murray kumshinda David Goffin raia wa Ubelgiji.
Murray alimshinda mpinzani wake kwa jumla ya seti 6-3 7-5 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya 3-1.
Nyota huyu wa tenesi ameingia kwenye historia baada ya kutwaa mataji ya michuano ya Wimbledon, michuano ya wazi ya US Open na ile ya Michezo ya Olimpiki.
from Blogger http://ift.tt/1RgWo83
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment