DKT. TULIA ACKSON MWANSASU ASHINDA KWA KISHINDO KITI CHA NAIBU SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA LEO


 Mhe. Magdalena Sakaya akijieleza na kumba kura
 Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akijieleza na kuomba kura
Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akila kiapo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma leo bada ya kushinda nafasi ya  Naibu Spika wa Bunge, kwa kura 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake Mhe. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. 
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii, Dodoma

from Blogger http://ift.tt/1YiFeZz
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment